Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa : Serikali Itaendelea Kujenga Uwiano Mzuri wa Kijinsia.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na vijana wakati alipomuwakilisha Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan katika ufungaji wa jukwaa la uongozi wa vijana kwa mwaka 2021, Jijini Arusha
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na vijana wakati alipomuwakilisha Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan katika ufungaji wa jukwaa la uongozi wa vijana kwa mwaka 2021, Jijini Arusha
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mafunzo cha Ushirikiano wa Maendeleo Makena Mwobobia (kulia), katika ufungaji wa jukwaa la uongozi wa vijana kwa mwaka 2021, Jijini Arusha Novemba 10, 2021. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongela na wa tatu kulia ni Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Peter Mathuki
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Mkurugenzi wa Programu wa Kituo cha Mafunzo cha Ushirikiano wa Maendeleo, Sara Ezra (kushoto) wakati alipomuwakilisha Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan katika ufungaji wa jukwaa la uongozi wa vijana kwa mwaka 2021, Jijini Arusha Novemba 10, 2021. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.