Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi kwenye Mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha  Taifa SUZA Dk.Hussein Ali Mwinyi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said (katikati) wakifuatana wakati wa Maandamano ya mahfali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Wahitimu wa Stashahada ya Uuguzi na Ukunga (Diplomain Nursing and Midwifery)wakiwa katika sherehe ya mahfali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi alikuwa RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha  Taifa SUZA Dk.Hussein Ali Mwinyi.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wakiwa katika sherehe ya mahfali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja,mgeni rasmi alikuwa RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha  Taifa SUZA Dk.Hussein Ali Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha  Taifa SUZA Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said (kushoto) huku akiwapungia mkono wahitimu katika  mahfali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja (kulia) Makamo Mkuu wa Chuo cha  Taifa cha Zanzibar   Prof. Mohamed Makame Haji .
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha  Taifa SUZA Dk.Hussein Ali Mwinyi  alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za mahfali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja.
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha  Taifa SUZA Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akiwatunuku Vyeti,Stashahada,Shahada,Shahada za Uzamili na Shahada za Uzamivu  wahitimu katika  mahfali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja (kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohamed Said.
Wahitimu waliotunukiwa   Cheti cha Msingi cha Upishi   na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha  Taifa SUZA Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika sherehe za mahfali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Wahitimu wa Shahada ya Utabibu yaani"Doctor of Medicine"    Fatma Amour Ali na Saleh Bakar Kassim wakila kiapo cha Utii leo katika sherehe za mahfali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Wahitimu wa shahada ya Utabibu (Doctor of Medicine) wakila kiapo cha Utii leo katika sherehe za mahfali ya 17 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja ambapo mgeni rasmi alikuwa RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha  Taifa SUZA Dk.Hussein Ali Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha  Taifa SUZA Dk.Hussein Ali Mwinyi  akimtunuku shahada ya uzamivu ya Kiswahili ya chuo Kikuu cha Taifa SUZA Mhitimu Saade Saidi Mbarouk katika mahfali ya 17 yaliyofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja leo.
[Picha na Ikulu].29/12/2021.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.