Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Azungumza na Wahariri wa Vyombo Vya Habari Mbalimbali na Waandishi wa Habari wa Zanzibar na Tanzania Bara Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wahariri  wa Vyombo vya habari na Waandishi wa Habari wa mbalimbali wa Magazeti,TV na Redio, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-12-2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husseinn Ali Mwinyi akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari vya Bara na Zanzibar pamoja na Waandishi wa habari wakati wa mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa Ikulku Jijini Zanzibar leo 11-12-2021.
Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa habari wa Zanzibar na Tanzania Bara wakimsikiliza Raius wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano na Waandishi uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akijubu maswali ya Waandishi wa habari na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya Habari vyac Tanzania Bara na Zanzibar, wakati wa mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Wahariri wa Vyombo vya habari na Waandishi wakifuatlia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Wahariri wa Vyombo vya habari na Waandishi wakifuatlia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.