BAADHI ya Mdumu na Ndoo za Maji za wananchi wakijiji
cha Mnarani Makangale, zikiwa kwenye foleni na kusubiri huduma ya maji
inayopelekwa kwa kutumia gari la maji, kutoka kwa Mkuu wa Wilaya hiyo kwa ajili
ya wananchi hao, baada ya kukosa huduma hiyo kwa muda mrefu.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MKUU wa Wilaya ya Micheweni Mgeni Khatib Yahya
akijaza maji katika baadhi ya ndoo za wananchi wa kijiji cha mnarani Makangale,
kufuatia wananchi hao kukosa huduma hiyo kwa muda mrefu na kulazimika
kuwapelekea gari la maji kila muda ili waweze kupata huduma hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment