Habari za Punde

Ufukwe wa Kisiwa cha Shamiani Mwambe, kivutio muhimu kwa watalii

MDHAMINI wa Kamisheni ya Utalii Pemba Hamad Amini Ali, akizungumza na wanafunzi wa skuli ya Madungu Sekondari, baada ya kufanya usafi katika fukwe ya Shamiani Mwambe, kwa lengo la kutangaza fukwe hiyo kuwa kivutio cha utalii ndani ya kisiwa cha Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

BAADHI ya wanafunzi wa skuli ya Madungu Sekondari wakifanya usafi katika Ufukwe wa Kisiwa cha Shamiani Mwambe, ikiwa ni lengo la kuutangaza Ufukwe huo kuwa kivutio cha utalii Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

WANAFUNZI wa Skuli ya Madungu Sekondari wakizoa taka baada ya kufanya usafi katika ufukwe wa Kisiwa cha Shamiani Mwambe, ikiwa ni mikakati ya kutangaza ufukwe huo kuwa kivutio cha Utalii Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MIONGONI mwa Fukwe bora, kubwa na safi Kisiwani Pemba kwa sasa ni Ufukwe wa Kisiwa cha Shamiani Mwambe, ikiwa ni moja ya vivutio vikubwa vya utalii ndani ya Kisiwa cha Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.