Mawaziri pamoja na Manaibu wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, wakati akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 19 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
UDOM Yabuni Mashine ya Kisasa ya Kuuza Vinywaji Baridi Inayojiendesha
-
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kupitia Ndaki ya Sayansi za Kompyuta na Elimu
Angavu, kimebuni mashine ya kisasa ya kuuza ...
45 minutes ago
No comments:
Post a Comment