Habari za Punde

Hafla ya Uhuishaji wa Mahusiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na ya Ujerumani, pamoja na Uzinduzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani

WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uhuwishaji wa Mahusiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na ya Ujerumani, pamoja na Uzinduzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani, iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-1-2022.(Picha na Ikulu)
BALOZI wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe.Regine Hess wa kwanza kulia akimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa Uhuwishaji wa Mahusiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Ujerumani na Uzinduzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani akiwa na Maofisa Ubalozi, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MABALOZI wadogo wanaowakilisha Nchi zao wanaofanyika Kazi Zanzibar wakifuatilia hafla ya Uhuwishaji wa Mahusiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Ujerumani pamoja na Uzinduzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-1-2022.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Makatibu Wakuu wa Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hafla ya Uhuwishaji wa Mahusiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Ujerumani pamoja na Uzinduzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-1-2022.(Picha na Ikulu)
BALOZI wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe. Balozi Regine Hess akizungumza wakati wa hafla ya Uhuwishaji wa Mahusiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Ujerumani pamoja na Uzinduzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-1-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uhuwishaji wa Mahusiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Ujerumani pamoja na Uzinduzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani, iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-1-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi baada ya kuzindua Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani na Balozi wa Ujerumani Nchi Tanzania.Mhe.Regine Hess, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-1-2022. na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali  na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Balozi)Dr.Katrin Bornemann.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipongezana na Balozi wa Ujerumani Nchi Tanzania.Mhe.Regine Hess, baada ya kuzindua Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-1-2022. na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibare Mhe. Jamal Kassim Ali na (kulia kwa Balozi)Dr.Katrin Bornemann.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Balozi wa Ujerumani Nchi Tanzania.Mhe.Regine Hess, baada ya Uhuwishaji wa Mahusiano baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Ujerumani pamoja na Uzinduzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Ujerumani, hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-1-2022.(Picha na Ikulu)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.