Habari za Punde

Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Othman akutana Rais Mhe Samia Ikulu Dar


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, leo tarehe 26 Januari, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.