WAFANYAKAZI wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) afisi
ya Pemba, wakifuatilia mkutano wa Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa ZAWA,
alipokuja kujitambulisha Pemba kwa wafanyakazi wa Afisi hiyo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
MKURUGENZI Mkuu Mamlaka ya maji Zanzibar (ZAWA),
Mhandisi Dkt.Salha Mohamed Kassimi,
akizungumza katika mkutano wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya
Maji Zanzibar na Wafanyakazi wa Ofisi ya Pemba, huko machomanne Mjini Chake
Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Balozi Mstaafu wa Tanzania na Meja Jenerali Mstaafu Issa Suleiman Nassor, akizungumza na wafanyakazi wa mamlaka hiyo kwa mara ya kwanza Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
MMOJA ya wafanyakazi wa ZAWA Pemba Miraji Ali
Mohamed, akiuliza swali katika mkutano wa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya
ZAWA zanzibar, mkutano uliofanyika katika ofisi hizo Machomanne Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
No comments:
Post a Comment