Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi amewasili Abu Dhabi kuanza ziara yake yake ya siku tatu

AIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Abu Dhabi kwa ziara ya Kiserikali katika Nchi Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E) akielekea katika chumba cha mapumziko cha VIP uwanjani hapo baada ya kuwasili (kulia kwa Rais) Balozi wa Jamuhuri ya Tanzania U.A.E Mhe. Mohammed Abdalla Mtonga na (kushoto kwa Rais) Kiongozi wa Ngazi ya  juu wa Abu Dhabi.(Picha na Ikulu)  


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Mhe.Balozi Mohammed Abdalla Mtonga, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Abu Dhabi, kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu.(Picha na Ikulu)


MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Mke wa Balozi wa Tanzania U.A.E Mama Balozi Mtonga, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Abu Dhani, wakiwa katika chumba cha Viongozi VIP.(Picha na Ikulu) 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.