Habari za Punde

Naibu Katibu Mkuu CCM Bara afanya ziara Jimbo la Jang’ombe

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndugu Christina Mndeme akihutubia wakati wa mkutano wa kupokea taarifa ya kazi ya Chama katika Ofisi za CCM Mkoa Amani. Naibu Katibu Mkuu wa CCM alimuwakilisha Katibu Mkuu wa CCM katika ziara ya Jimbo la jang’ombe lenye historia nyingi na za kipekee nchini, ikiwa sehemu ya ziara ya Ukuaguzi, Usimamiaji, Uhamasishaji na Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 – 2025 pamoja na kukagua uhai wa CCM katika ngazi za mashina. (Picha na CCM Makao Makuu)

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndugu Christina Mndeme (kulia) na Mwenyekiti wa Shina namba 13 Jang’ombe Ndugu Ali Suleiman Hassan (kushoto) wakicheza nyimbo maalum ya kusheherekea kumbukizi ya kuzaliwa kwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM alimuwakilisha Katibu Mkuu wa CCM katika ziara ya Jimbo la jang’ombe lenye historia nyingi na za kipekee nchini, ikiwa sehemu ya ziara ya Ukuaguzi, Usimamiaji, Uhamasishaji na Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 – 2025 pamoja na kukagua uhai wa CCM katika ngazi za mashina. (Picha na CCM Makao Makuu)

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndugu Christina Mndeme akimkabidhi Mwenyekiti wa Shina namba 13 Jang’ombe Ndugu Ali Suleiman Hassan (kushoto) daftari maalum la kusajili na kutunza taarifa za wanachama.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM alimuwakilisha Katibu Mkuu wa CCM katika ziara ya Jimbo la jang’ombe lenye historia nyingi na za kipekee nchini, ikiwa sehemu ya ziara ya Ukuaguzi, Usimamiaji, Uhamasishaji na Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 – 2025 pamoja na kukagua uhai wa CCM katika ngazi za mashina. (Picha na CCM Makao Makuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.