Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ajumuika na Waislamu katika Sala ya Ijumaa Masjid Mushawar, Muembeshauri, amjuulia hali Mzee Abdallah Mwinyi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Mushawar  Muembeshauri  Wilaya ya Mjini Unguja leo 25-2-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Masjid Mushawar  na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi,baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 25-2-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mzee Abdalla Mwinyi Khamis Mkuu wa Mkoa Mstaaf, alipofika nyumbani kwake  Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja  kumsalimia na kumjulia hali yake leo 25-2-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza Mzee Abdalla Mwinyi Khamis Mkuu wa Mkoa Mstaaf, alipofika nyumbani kwake  Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja  kumsalimia na kumjulia hali yake leo 25-2-2022.(Picha na Ikulu)


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.