Habari za Punde

Taasisi ya CYD Yatoa Mafunzo ya Amani Mipakani Kwa Wadau Mbalimbali Kisiwani Pemba.

KAMISHNA wa Polisi Zanzibar Mohamed Haji Hassan, akizungumza viongozi wa Dini, waendesha boda boda, Madereva Taxi, Viongozi wa Dini, Watu wa Ustawi wa Jamii, Afisa Elimu na Manahoza wa vyombo vya bahari, wakati wa ufungaji wa mafunzo yaliotolewa na Taasisi ya CYD Zanzibar, kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Wete, chini ya mradi wa Amani Mipakani kwa ufadhili wa Ubalozi wa Canada Tanzania kutipia Mfuko wa Maendeleo ya Kijamii (CFLI).
WADAU kutoka Taasisi na Vitendo mbali mbali za Serikali na Binafsi Wilaya ya Wete, wakifuatilia ufungaji wa mafunzo yaliotolewa na Taasisi ya CYD Zanzibar, kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Wete, chini ya mradi wa Amani Mipakani kwa ufadhili wa Ubalozi wa Canada Tanzania kutipia Mfuko wa Maendeleo ya Kijamii (CFLI)
MKURUGENZI wa Taasisi ya CYD Zanzibar Hashim Pondeza kushoto akimueleza jambo Kamishna wa Polisi Zanzibar Mohamed Haji Hassan, wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo yaliotolewa na Taasisi ya CYD Zanzibar, kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Wete, chini ya mradi wa Amani Mipakani kwa ufadhili wa Ubalozi wa Canada Tanzania kutipia Mfuko wa Maendeleo ya Kijamii (CFLI).
VIONGOZI mbali mbali wa Dini wakirokodi kwa Simu igizo maalumu lililotolewa na Kikundi cha Mwinyi Mpeku, juu ya umuhimu wa amani Mipakani wakati wa ufungaji wa mafunzo yaliotolewa na Taasisi ya CYD Zanzibar, kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Wete, chini ya mradi wa Amani Mipakani kwa ufadhili wa Ubalozi wa Canada Tanzania kutipia Mfuko wa Maendeleo ya Kijamii (CFLI)

WASANII wa Kikundi cha sanaa Wete kikiongozwa na Mohamed Kombo (Mwinyi Mpeku), wakionesha igozo umuhimu wa Amani Mipakani wakati wa kikao cha ufungaji wa Mafunzo yaliotolewa na Taasisi ya CYD Zanzibar, kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Wete, chini ya mradi wa Amani Mipakani kwa ufadhili wa Ubalozi wa Canada Tanzania kutipia Mfuko wa Maendeleo ya Kijamii (CFLI).

(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.