Habari za Punde

Katibu Mkuu CCM Daniel Chongolo amfariji Naibu Katibu Mkuu Zanzibar


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (kulia) akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Dkt. Abdallah Juma Saadalla (Mabodi) mara baada ya kufika nyumbani kwake Chukwani,Unguja na kumfariji baada ya mtoto wake Rubani Ashraf Abdallah Juma kupata ajali ya na ndege nchini Comoro mwishoni mwa mwezi februari,2022. (Picha na  CCM Makao Makuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.