Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Murugenzi wa UN Women Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi wa UN Women Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini Dkt. Maxime Houinato alipofika Ikulu Tunguu Zanzibar leo tarehe 09 Machi, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa UN Women Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini Dkt. Maxime Houinato na Ujumbe wake mara baada ya kumalizika mazungumzo yao Ikulu Tunguu Zanzibar leo tarehe 09 Machi, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkurugenzi wa UN Women Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini Dkt. Maxime Houinato alipofika Ikulu Tunguu Zanzibar leo tarehe 09 Machi, 2022
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.