Habari za Punde

Wafanya biashara kisiwani Pemba wafundwa kuhusu kodi ya mapatoOFISA Elimu kwa Walipa Kodi TRA-Zanzibar Dr.Shuweikha S. Khalfan, akiwasilisha mada ya Kodi ya Mapato yatokanayo na ukodishaji wa Nyumba/Ardhi, kwa wafanya biashara mbali mbali Kisiwani Pemba, hafla iliyofanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

OFISA Elimu kwa Walipa Kodi TRA-Zanzibar Dr.Shuweikha S. Khalfan, akiwasilisha mada ya Kodi ya Mapato yatokanayo na ukodishaji wa Nyumba/Ardhi, kwa wafanya biashara mbali mbali Kisiwani Pemba, hafla iliyofanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MFANYABIASHARA Mjini Chake Chake Pemba Rabia Omar Said, akitoa maoni yake katika mkutano wa wafanyabiashara na TRA Pemba, juu ya kodi ya Mapato yatokanayo na Ukodishaji wa Nyumb/Ardhi, hafla iliyofanyika mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

BAADHI ya wafanyabiashara kutoka mji wa Chake Chake wakifuatilia kwa makini mkutano wao na TRA Pemba, juu ya kodi ya Mapato yatokanayo na ukodishaji wa Nyumba/Ardhi, hafla iliyofanyika Mjini Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.