Habari za Punde

Matukio ya Picha Waziri Mkuu Mhe.Majaliwa Bungeni Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Wabunge kutoka kushoto ni Mbunge wa  Morogoro Kusini , Hamisi Shaban Taletale na Mbunge wa Mbozi, George Mwenisongole, Bungeni, jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri  Ofisi ya Rais, Tawala za Mika na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu, David Silinde Bungeni, jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mpwapwa, George Malima Bungeni, jijini Dodoma. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Nchi Ofisi ya Rais Ikulu,    George Mkuchika, Bungeni, jijini Dodoma. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Madini Mhe. Dkt. Doto Biteko Bungeni, jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Sengerema, Hamis Tabasamu Bungeni, jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson Bungeni, jijini Dodoma.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.