SHEIKH Hassan Othman Ngwali akisoma hati ya
kiapo kabla ya kuapishwa kushika nafasi ya Kadhi Mkuu wa Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo
pichani) na (kushoto kwake) Sheikh.Othman Ame Chum aliyeteuliwa kuwa Naibu
Kadhi Mkuu wa Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo
12-5-2022.Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar wakati wa kupigwa kwa wimbo wa Taifa wa Zanzibar, Tanzania na Wimbo wa
Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa hafla ya kuapishwa kwa Kadhi Mkuu wa
Zanzibar na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo
12-5-2022
VIONGOZI wa Serekali na wageni (kulia) Makamu wa
Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman, na (kushoto) Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Katibu wa Baraza la
Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa
Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman,wakiwa katika
ukumbi wa Ikulu wakati wa kupigwa kwa Wimbo wa Taifa wa Zanzibar na Tanzania na
Wimbo wa Afrika Masharika wakati wa kuapishwa kwa Kadhi Mkuu wa Zanzibar na
Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar,hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar leo 12-5-2022

MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto kwake) Mstahiki Meya wa Jiji la
Zanzibar.Mhe Mahmoud Mohammed Mussa,Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama
Zanzibar na Viongozi wa Dini walioteuliwa hivi karibu kushika nafasi ya Kadhi
Mkuu wa Zanzibar na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Hassan Othman Ngwali
na Sheikh.Othman Ame Chum, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu wakati ukipigwa Wimbo
wa Taifa wa Zanzibar na Tanzania na wa Afrika Mashariki kabla ya kuaza kwa
hafla ya kuapishwa kwa viongozi hao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
leo 12-5-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Sheikh Hassan Othman Ngwali
kuwa Kadhi Mkuu wa Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 12-5-2022
SHEIKH Hassan Othman Ngwali akiapishwa na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi.(hayupo pichani) kuwa Kadhi Mkuu wa Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa
iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo ya Sheikh Hassan
Othman Ngwali, baada ya kumuapisha kuwa Kadhi Mkuu wa Zanzibar hafla hiyo
iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2022
SHEIKH Othman Ame Chum akiapishwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo
pichani) kuwa Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa
iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Sheikh Othman Ame Chum kuwa
Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika
Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo ya Sheikh Othman Ame
Chumi, baada ya kumuapisha kuwa Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar hafla hiyo
iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2022
WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar
wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Kadhi Mkuu wa Zanzibar na Naibu Kadhi Mkuu
wa Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
12-5-2022.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment