Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Masheikh wa Zanzibar walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa kumsalimia na kutoa mkono wa Eid El Fitry, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar jana 3-5-2022.
Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume akizungumza na kuwatambulisha Masheikh wa Zanzibar kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa kumsalimia.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman akizungumza wakati wa mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na Masheikh wa Zanzibar walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa kumsalimia baada ya Sala ya Eid El Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Masheikh wa Zanzibar walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa kumsalimia na kutoa mkono wa Eid El Fitry, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, baada ya kumaliza
mazungumzo yake na Masheikh wa Zanzibar Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh Saleh Omar Kabi, baada ya kumaliza mazungumzo na Masheikh wa Zanzibar
walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa kumsalimia leo 3-5-2022, baada ya kumaliza
kwa Sala ya Eid Fitry iliyofanyika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini
Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Masheikh wa Zanzibar baada ya kumaliza mazungumzo yao walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa kumsalimia baada ya kumaliza kwa Sala ya Eid Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Masheikh wa Zanzibar baada ya kumaliza mazungumzo yao walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa kumsalimia baada ya kumaliza kwa Sala ya Eid Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja Jijini Zanzibar.

No comments:
Post a Comment