Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Akielekea Dakar Nchini Senegal.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo tarehe 6 Julai 2022 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam,akiagana na Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango kabla ya kuondoka kuelekea Dakar nchini Senegal kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika zinazonufaika na Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA Summit for Africa).


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.