Habari za Punde

UZINDUZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO YA INTANETI YENYE KASI MLIMA KILIMANJARO

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akikata utepe kuashiria kuzindua Huduma za Mawasiliano ya Intaneti kupitia Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika kituo cha Horombo kilichopo katika Mlima Kilimanjaro 
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akiongea wakati wa Ghafla ya Uzinduzi wa Huduma za Mawasiliano ya Intaneti kupitia Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika kituo cha Horombo kilichopo katika Mlima Kilimanjaro
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akishiriki mkutano kupitia njia ya video na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John Mongela baada ya kuzindua Huduma za Mawasiliano ya Intaneti kupitia Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika kituo cha Horombo kilichopo katika Mlima Kilimanjaro
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.