Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Amekutana na Kuzungumza na Waziri Mkuu wa Japan

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Japan Fumio Kishida kwa njia ya mitandao kwenye ukumbi wa Palais des Congres, jijini Tunis, Tunisia Agosti 27, 2022. Mheshimiwa Majaliwa amemshukuru Waziri Mkuu wa Japan  kwa misaada ambayo nchi yake inaipatia Tanzania ili kuleta unafuu kwenye maisha ya Watanzania. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.