Habari za Punde

ZPC Kuandaa Mdahalo wa Usalama wa Waandishi wa Habari na Uhusiano na Jeshi la Polisi

Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamad Khamis Hamad akifungua Mdahalo kuhusu kujadili Usalama wa Waandishi wa habari na Uhusiano na Jeshi la Polisi, uliyoandaliwa na Klabu ya Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC), hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.
Mwandishi wa habari Mwandamizi Dkt. Saleh Yussuf Mnemo akiwasilisha mada kuhusu Usalama wa Waandishi wa habari na mahusiano na Vyombo vya ulinzi na Usalama katika Mdahalo uliojadili Usalama wa Waandishi wa habari na Uhusiano na Jeshi la Polisi, hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.
Mwandishi wa habari Mwandamizi Dkt. Saleh Yussuf Mnemo akiwasilisha mada kuhusu Usalama wa Waandishi wa habari na mahusiano na Vyombo vya ulinzi na Usalama katika Mdahalo uliojadili Usalama wa Waandishi wa habari na Uhusiano na Jeshi la Polisi, hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar

Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC), Abdallah Mfaume akizungumza katika Mdahalo uliojadili Usalama wa Waandishi wa habari na Uhusiano na Jeshi la Polisi, uliyofanyika katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.

PICHA NA MARYAM KIDIKO. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.