Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein Ameongoza Kikao cha Kamati Maakum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui leo 20-10-2022

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) na Viongozi wa CCM alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 20-10-2022, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui na kuongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) na Viongozi wa CCM alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 20-10-2022, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui na kuongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) na Viongozi wa CCM alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 20-10-2022, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui 
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja, kuongozwa Kikao cha Kamati Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo 20-10-2022 , na (kulia ) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla
WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Wilaya ya Mjini leo 20-10-2022,kuhudhuria Kikao hicho kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) akisoma akenda za Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kabla ya kufunguliwa kikao hicho kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Wilaya ya Mjini leo 20-10-2022
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakiwa katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo 20-10-2022 katika ukumbi huo
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo 20-10-2022, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Wilaya ya Mjini na (kulia) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Hemed Suleiman Abdulla
WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Wilaya ya Mjini wakifuatilia ufunguzi wa Kikao hicho kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, leo 20-10-2022
WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Wilaya ya Mjini wakifuatilia ufunguzi wa Kikao hicho kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, leo 20-10-2022
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo 20-10-2022, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Wilaya ya Mjini na (kulia) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Hemed Suleiman Abdulla.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.