Habari za Punde

Mama Mariam Mwinyi mgeni rasmi katika Uzinduzi wa kampeni za uendelezaji wa Shughuli za Upandaji wa Miti katika Bustani ya Botanic Migombani

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika Bustani ya Botanic Migombani Jimbo la Mpendae kwa ajili ya Uzinduzi wa kampeni za  uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti katika Bustani hiyo leo.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati) akifuatana na Waziri wa Utalii na Mambo ya kale Mhe.Simai Mohamed Said (kushoto) na Naibu Waziri wa Maji,Nishati na Madini pia Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Mhe.Shaaban Ali Othman  wakati alipowasili katika Bustani ya Botanic Migombani  kwa ajili ya Uzinduzi wa kampeni za  uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti katika Bustani hiyo 
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi  (katikati)  akipanda mche wa  Mnazi  ikiwa ni Uzinduzi wa kampeni za  uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti katika Bustani ya Botanic Migombani Jimbo la Mpendae hafla iliyofanyika leo ambapo Viongozi mbali mbali wamehudhuria akiwepo na Waziri wa Utalii na Mambo ya kale Mhe.Simai Mohamed Said.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) akijipongeza na Viongozi mbali mbali  leo.baada ya kupanda mche wa  Mnazi  ikiwa ni Uzinduzi wa kampeni za  uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti katika Bustani ya Botanic Migombani Jimbo la Mpendae (katikati)  Waziri wa Utalii na Mambo ya kale Mhe.Simai Mohamed Said 
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi  (kushoto)  akipokea risala kutoka kwa katibu wa (MIGOMBANI BOTANIC GARDEN) Ndg. Kombo Juma, katika hafla ya Uzinduzi wa kampeni za  uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti katika Bustani ya Botanic Migombani Jimbo la Mpendae iliyofanyika leo ambapo Viongozi mbali mbali wamehudhuria akiwepo na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Simai Mohamed Said.(katikati).
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi  (katikati)  akicheza waimbo maalum na wanafunzi wa   Skuli ya Taqiiallah  katika hafla ya Uzinduzi wa kampeni za  uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti katika Bustani ya Botanic Migombani Jimbo la Mpendae iliyofanyika leo ambapo  Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Simai Mohamed Said na Naibu Waziri wa Maji,Nishati na Madini pia Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Mhe.Shaaban Ali Othman .wameshiriki katika Wimbo huo.(katikati).
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Simai Mohamed Said alipokuwa akimkaribisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi  (hayupo pichani) ili azungumze na wananchi katika hafla ya Uzinduzi wa kampeni za  uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti katika Bustani ya Botanic Migombani Jimbo la Mpendae iliyofanyika leo.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi  alipokuwa akitoa hutuba yake katika   Uzinduzi wa kampeni za  uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti katika Bustani ya Botanic Migombani Jimbo la Mpendae iliyofanyika leo, ambapo viongozi mbali mbali wamehudhuria akiwepo  Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Simai Mohamed Said na Naibu Waziri wa Maji,Nishati na Madini pia Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Mhe.Shaaban Ali Othman. 
ke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi  alipokuwa akitoa hutuba yake katika   Uzinduzi wa kampeni za  uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti katika Bustani ya Botanic Migombani Jimbo la Mpendae iliyofanyika leo, ambapo viongozi mbali mbali wamehudhuria akiwepo  Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Simai Mohamed Said na Naibu Waziri wa Maji,Nishati na Madini pia Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Mhe.Shaaban Ali Othman.
Naibu Waziri wa Maji,Nishati na Madini pia Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Mhe.Shaaban Ali Othman,alipokuwa akitoa neno la shukurani kwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni za  uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti katika Bustani ya Botanic Migombani Jimbo la Mpendae leo uliofanywa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani). 
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati)  alipokuwa akitoa maelezo wakati alipotembelea sehemu mbali mbali katika Bustani ya Botanic Migombani Jimbo la Mpendae iliyofanyika leo,baada ya kufanya  Uzinduzi rasmi wa kampeni za  uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti  (katikati)  Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Simai Mohamed Said na Naibu Waziri wa Maji,Nishati na Madini pia Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Mhe.Shaaban Ali Othman.(wa tatu kulia)
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto)  alipokuwa akipata   maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Nursery  Ndg,Lailat Ali Hamad alipofika kuuangalia Mti wa Aloe Pembana (Mshubiri Mwitu) wakati alipotembelea sehemu mbali mbali katika Bustani ya Botanic Migombani Jimbo la Mpendae leo baada ya kuzinduza rasmi wa kampeni za  uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti katikati  bustani hiyo (katikati) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Simai Mohamed Said pamoja na viongozi wengine wakishuhudia.[Picha na Ikulu.] 18/11/2022. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.