Habari za Punde

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amepiga Kura Kuwachagua Viongozi wa CCM Ngazi ya Mkoa wa Mjini Kichama

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika viwanja vya ukumbi wa mkutano wa Afisi ya CCM Amani Mkoa, kwa ajili ya kuhudhuria mkutano Mkuu wa Mkoa wa Mjini Kichama uliofanyika katika ukumbi huo na kumchagua Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini na Viongozi katika ngazi ya Mkoa.Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama Talib Ali Talib akifungua mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama,uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa.kabla ya kujiuzulu nafasi hiyo baada ya kumaliza muda wake wa Uongozi huo.   

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Talib Ali Talib akitangaza kujiuzulu na Kamati yake ya Uongozi wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama uliofanyika katika ukumbi wa CCM Amani Mkoa.
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Mjini, uliyofanyika katika ukumbi wa CCM Amani Mkoa leo 20-11-2022

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama wakati wa Uchaguzi wa Viongozi wa CCM Ngazi ya Mkoa wa Mjini, uliyofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa leo 20-11-2022
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati akihutubia na kutowa nasaha zake kwa Wajumbe, mkutano wa Uchaguzi huo uliyofanyika katika ukumbi Afisi ya CCM Amani Mkoa leo 20-11-2022
WAGENI waalikwa Viongozi wa Vyama vya Siasa mbalimbali Nchini wakimsikiliza, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi  wa CCM  Ngazi ya Mkoa wa Mjini Kichama, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa leo 20-11-2022
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati akihutubia na kutowa nasaha zake kwa Wajumbe, mkutano wa Uchaguzi huo uliyofanyika katika ukumbi Afisi ya CCM Amani Mkoa leo 20-11-2022
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati akihutubia na kutowa nasaha zake kwa Wajumbe, mkutano wa Uchaguzi huo uliyofanyika katika ukumbi Afisi ya CCM Amani Mkoa leo 20-11-2022WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati akihutubia na kutowa nasaha zake kwa Wajumbe, mkutano wa Uchaguzi huo uliyofanyika katika ukumbi Afisi ya CCM Amani Mkoa leo 20-11-2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.