Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na na Mabalozi wa Kenya na Afrika Kusini Ikulu leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Kenya  Nchini Tanzania Mhe.Isaac Njenga  alipofika kujitambulisha leo Ikulu jijini Zanzibar  akiwa na ujumbe aliofuatana nao.[Picha na Ikulu]  16/11/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mgeni wake  Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe.Isaac Njenga  wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar leo kujitambulisha.[Picha na Ikulu]16/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na  Mgeni wake  Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe.Isaac Njenga  wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu jijini Zanzibar leo kujitambulisha.[Picha na Ikulu]16/11/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)  akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Afrika Kusini Nchini Tanzania Mhe.Noluthando  Mayende  Mapele, leo alipofika  Ikulu jijini Zanzibar  .[Picha na Ikulu] 16/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)    akizungumza na  Mgeni wake  Balozi wa Afrika Kusini Nchini Tanzania Mhe.Noluthando  Mayende  Mapele, leo wakati  alipofika Ikulu jijini Zanzibar   kujitambulisha.[Picha na Ikulu]16/11/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na mgeni wake  Balozi wa Afrika Kusini  Nchini Tanzania Mhe.  Noluthando  Mayende  Mapele,baada ya mazungumzo leo alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha.[Picha na Ikulu]16/11/2022..  
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.