Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Suleiman Masoud Makame akizungumza na wafanyakazi katika makabidhiano ya utiyaji saini hati ya Diko na Soko Kisasa la malindi Zanzibar ghafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Afisi ya Zura Mjini Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Aboud Suleiman Jumbe na Mwakilishi wa kampuni ya Rinkai Nissan kutoka Japan Mr.Nagao Hideshi wakitia saini hati ya makabidhiano ya Diko na Soko kisasa la Malindi Zanzibar ghafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Afisi ya Zura Mjini Zanzibar.
Mwakilishi wa kampuni ya Rinkai Nissan kutoka Japan Mr.Nagao Hideshi akizungumza na wafanyakazi kuhusu kukamilika kwa Diko la soko kwa makabidhiano ya utiaji saini hati ya Diko na Soko Kisasa la Malindi Zanzibar, ghafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Afisi ya Zura Mjini Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Aboud Suleiman Jumbe akitoa maelezo mara baada ya utiaji saini hati ya Makubaliano ya Diko na Soko Kisasa la Malindi Zanzibar,ghafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi ya Zura Mjini Zanzibar.
Baadhi ya wafanyakazi waliyofika katika utiaji saini hati ya Makabidhiano ya Diko na Soko Kisasa la Malindi Zanzibar ghafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi ya Zura Mjini Zanzibar.
Picha na Miza Othman-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment