Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amesainiu Kitabu cha Maombolezi Kufuatia Kifo cha Rais Mstaafu wa China Jiang Zemin

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisani kitabu cha maombolezi kufuatilia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin,alipofika ubalozi wa Mdogo wa China uliopo Mazizini Jijini Zanzibar leo 2-12-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisani kitabu cha maombolezi kufuatilia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin,alipofika ubalozi wa Mdogo wa China uliopo Mazizini Jijini Zanzibar leo 2-12-2022, na aliyesimama Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China aliopo Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyika Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng,baada ya kumaliza kusaini kitabu cha maombelezi kufuatilia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin,utiaji wa saini umefanyika leo 2-12-2022 katika ubalozi mdogo wa China Mazizini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.