Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Ameongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui leog

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg. Mohammed Said Mohammed (Dimwa) alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo 29-1-2023.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja kuhudhuria Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo 29-1-2023, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.

WAJUMBE wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Kikao Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja leo 29-1-2023, wakipitia makabrasha kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja kabla ya kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, iliyofanyika leo 29-1-2023 na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri ya CCM Taifa, ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.  Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg. Mohammed Said Mohammed (Dimwa)

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja leo 29-1-2023, na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg. Mohammed Said Mohammed (Dimwa). 

WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar , wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 29-1-2023, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.