Habari za Punde

Michuano ya 17 ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar Kati ya Simba na KVZ Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Simba Imeshinda Bao 1--0

Mchezaji wa Timu ya Simba akijaribu kumpita beki wa Timu ya KVZ katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika jana usiku 5-1-2023, katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar .Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 1--0.
Kikosi cha Timu ya Simba kinachoshiriki Michuani ya 17 ya Kombe la Mapinduzi jana usiku kilitoka na usindi wa bao 1-0 dhidi ya Timu ya KVZ, mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.