Habari za Punde

Rais Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi mgeni rasmi katika ufunguzi wa Masjid Salim, Sogea Jimbo la Magomeni

Msikiti wa Ijumaa Masjid Salim uliopo Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi,ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walishuhudia Ufunguzi huo.[Picha na Ikulu] 06/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika ufunguzi wa Masjid Salim,Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini ,ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walidhuhuria katika Ufunguzi huo.[Picha na Ikulu] 06/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamali Kassim Ali (kushoto) wakifungua pazia kuashiria ufunguzi  wa Masjid Salim,Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini ,ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walidhuhuria katika Ufunguzi huo.[Picha na Ikulu] 06/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe ikiwa ni ishara ya  kuufungua Msikiti wa Ijumaa Masjid Salim,uliopo Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini leo,ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walidhuhuria katika Ufunguzi huo,akiwepo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamali Kassim Ali (kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman.[Picha na Ikulu] 06/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake mara baada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti Masjid Salim,uliopo Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini alipoufungua rasmi leo,ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walidhuhuria.[Picha na Ikulu] 06/01/2023.
Waumini wa Dini ya KLiislamu wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake mara baada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti Masjid Salim,uliopo Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini alipoufungua rasmi leo,na kuwataka waumini hao kuutumia kwa kutatua changamoto mbali mbali zinazohusu jamii na kutatua migogoro ya kifamilia.[Picha na Ikulu] 06/01/2023.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.