Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi aifungua rasmi Skuli mpya ya Msingi ya Salum Salim Turky Mpendae kwa-Binti Amran

Wanafunzi wa skuli mpya ya  Msingi ya Salim Turky  kwa-Binti Amran wakiwa wamejipanga wakati wa mapokezi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipowasili  kuifungua rasmi skuli hiyo katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha  Duniani  IMF  .[Picha na Ikulu] 06/01/2023.
 Wanafunzi wa Skuli mpya ya Msingi ya Turky  kwa-Binti Amran wakifurahia ujio Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)  waliojipanga wakati wa mapokezi ya  alipowasili  kuifungua rasmi skuli hiyo katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha  Duniani  IMF.[Picha na Ikulu] 06/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwiyi wakipokea shada la mauwa wakati alipowasili  kuifungua rasmi   Skuli mpya ya Msingi ya Salim Turky  kwa-Binti Amran  katika   sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha  Duniani  IMF.[Picha na Ikulu] 06/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Muhamed Mussa kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria ufunguzi wa  Skuli mpya ya Msingi Salim Turky  kwa-Binti Amran,Viongozi wengine wakishuhudia   katika   sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha  Duniani  IMF.[Picha na Ikulu] 06/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe  kuifungua rasmi  Skuli mpya ya Msingi Salim Turky  kwa-Binti Amran,iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha  Duniani  IMF,hafla iliyofanyika leo  katika   sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wengine walioshuhudia,Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Muhamed Mussa(kushoto)Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Maghari Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa(kulia) .[Picha na Ikulu] 06/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwiyi,  Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia) na Viongozi mwengine akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi Khalfani Abdalla  Saidi 7 wakati alipotembelea katika chumba cha Somo la Sayansi wakati alipoifungua rasmi   Skuli mpya ya Msingi ya Salim Turky  kwa-Binti Amran  katika   sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha  Duniani  IMF.[Picha na Ikulu] 06/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,(katikati)   Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla pamoja  na Viongozi mwengine wakipata maelezo  wakati alipotembelea katika chumba cha Somo la Tehama  wakati alipoifungua rasmi   Skuli mpya ya Msingi Salim Turky  kwa-Binti Amran  katika   sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha  Duniani  IMF.[Picha na Ikulu] 06/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,(kushoto)akiwepo Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Muhamed Mussa na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Ndg. Khamis Abdulla Said wakati mwanafunzi Abdul Aziz Sleiman Ali wa darasa la 7 alipowa karibisha katika Chumba cha Maktaba  wakati alipotembelea baada ya kuifungua rasmi   Skuli mpya ya Msingi ya Salim Turky  kwa-Binti Amran  katika   sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha  Duniani  IMF.[Picha na Ikulu] 06/01/2023.
wanafunzi waliofika katika Chumba cha maktaba kujisomea vitabu mbali mbali kama walivyokutwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Ujumbe wake (hawapo pichani)  wakati alipotembelea baada ya kuifungua rasmi   Skuli mpya ya Msingi Salim Turky kwa-Binti Amran  katika   sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha  Duniani  IMF.[Picha na Ikulu] 06/01/2023.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.