Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa Mwenge wa Uhuru kutoka kwa
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2025 Bw. Ismail Ali Ussi mara
baada ya kuhitimishwa kwa mbio hizo katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Sokoine
Jijini Mbeya leo tarehe 14 Oktoba 2025.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa Risala iliyobeba maoni ya
Wananchi kutoka kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2025 Bw. Ismail Ali Ussi mara
baada ya kuhitimishwa kwa mbio hizo katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Sokoine
Jijini Mbeya leo tarehe 14 Oktoba 2025.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizindua kitabu cha Miaka 60 ya Mbio za
Mwenge wa Uhuru wakati wa hafla ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka
2025, iliyofanyika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya leo tarehe 14 Oktoba 2025.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Kilele cha Mbio za
Mwenge wa Uhuru, Kumbukizi ya Baba wa Taifa hayati Mwl. Julius Kambarage
Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana Kitaifa kwa Mwaka 2025 zilizofanyika Uwanja wa
Sokoine Jijini Mbeya leo tarehe 14 Oktoba 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja na wakimbiza Mwenge wa Uhuru Waandamizi mara baada ya kukamilika kwa hafla ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukizi ya Baba wa Taifa hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana Kitaifa kwa Mwaka 2025 zilizofanyika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya leo tarehe 14 Oktoba 2025.
No comments:
Post a Comment