Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Skuli ya msingi Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduzDk.Hussein Ali Mwinyi akisoma maelezo baada ya kufungua pazia kuashiria Ufunguzi wa Skuli ya msingi Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba leo, katika shamra shamra za maadhimisho ya sherehe za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi (wa tatu kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa .[Picha na Ikulu] 01/01/2023.

.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akikata utepe kufungua  Skuli ya msingi Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba leo, katika shamra shamra za maadhimisho ya sherehe za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa(katikati) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.[Picha na Ikulu] 01/01/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa (wa pili kushoto)alipotembelea madarasa baada ya  kuifungua Skuli ya msingi Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba leo, katika shamra shamra za maadhimisho ya sherehe za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(wa pili kulia) Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi.[Picha na Ikulu] 01/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakifuatana na Viongozi, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba ndg.alipotembelea  Skuli ya msingi Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba,baada ya kuifungua leo, katika shamra shamra za maadhimisho ya sherehe za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/01/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  alipokuwa akizungumza na Viongozi na Wananchi wa Mwambe na Vijiji jirani Mkoa wa Kusini Pemba leo katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya msingi Mwambe   katika shamra shamra za maadhimisho ya   miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba leo katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya msingi Mwambe   katika shamra shamra za maadhimisho ya   miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  alipokuwa akisalimiana na Mzee Ali Hamad Makame aliyefika katika  katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya msingi Mwambe   katika shamra shamra za maadhimisho ya   miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/01/2023.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.