Meneja wa Shirika la Bima la Taifa Kanda ya Zanzibar Ndg.Khamis Msami akimkabidhi Fedha Taslimu shilingi Laki Tano Mchezaji Bora wa Michezo ya 17 ya Kombe la Mapinduzi Abdul Mahafudh Mohammed wa Timu ya Chipukizi kuibuka mchezaji Bora wa Mchezo huo kati ya Timu ya Chipukizi na Aigle Noir uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.Timu hizo zimetoka sare ya Bao 1--1.
Dar City, Fox Divas watwaa ubingwa wa betPawa NBL 2025
-
Na Mwandishi wetu
Timu ya Dar City kwa upande wa wanaume na Fox Divas kwa upande wa wanawake
zimetwaa ubingwa wa mashindano ya klabu bingwa ya mpira wa k...
5 hours ago
0 Comments