Habari za Punde

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali afungua Soko la Wananchi Dunga

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Lela Mohamed Mussa (KUSHOTO) akikunjuwa Kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Soko la Wananchi Dunga Wilaya ya Kati Unguja.Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Lela Mohamed Mussa (KATIKATI)akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Soko la Wananchi Dunga Wilaya ya Kati Unguja.Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Lela Mohamed Mussa (KUSHOTO)akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Baraza la Mji Kati Salum Mohamed Abubakar katika hafla ya Ufunguzi wa Soko la Wananchi Dunga Wilaya ya Kati Unguja.Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Lela Mohamed Mussa )akitoa hotuba  katika hafla ya Ufunguzi wa Soko la Wananchi Dunga Wilaya ya Kati Unguja.Ikiwa ni Shamra Shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.