Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu mgeni rasmi katika ufunguzi wa Jengo la Hanga la kulala wapiganaji Mahonda

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Jamali Kassim Ali akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Hanga la kulala wapiganaji na kuweka jiwe la Msingi Ofisi kuu ya Zimamoto na Uokozi kanda ya Kaskazini Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Jamali Kassim Ali akipata maelezo kutoka kwa Kamishna wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Rashid Mzee Abdalla kuhusiana na Ujenzi katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo la Hanga la kulala wapiganaji na kuweka jiwe la Msingi Ofisi kuu ya Zimamoto na Uokozi kanda ya Kaskazini Mahonda Wilaya ya Kaskazini B Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Jamali Kassim Ali akitoa hotuba katika hafla ya  Ufunguzi wa Jengo la Hanga la kulala wapiganaji na kuweka jiwe la Msingi Ofisi kuu ya Zimamoto na Uokozi kanda ya Kaskazini Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Msanii wa Kikundi cha Zimamoto na Uokozi Mwanjabu Omar Mkumba akicheza ngoma ya Lingokwa ambayo hucheza na Nyoka katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo la Hanga la kulala wapiganaji na kuweka jiwe la Msingi Ofisi kuu ya Zimamoto na Uokozi kanda ya Kaskazin Mahonda Wilaya ya Kaskazini B Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Wasanii wa Kikundi cha Zimamoto na Uokozi wakicheza ngoma ya Lingokwa  katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo la Hanga la kulala wapiganaji na kuweka jiwe la Msingi Ofisi kuu ya Zimamoto na Uokozi kanda ya Kaskazini Mahonda Wilaya ya Kaskazini B Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar.

PICHANA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.