Habari za Punde

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo afungua maegesho ya magari Michenzani Mall

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita (KUSHOTO)akikunjuwa Kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Maegesho ya Magari hafla iliofanyika Michenzani Mall Jijini Zanzibar.Ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita Akikata Utepe  kuashiria Ufunguzi wa Maegesho ya Magari hafla iliofanyika Michenzani Mall Jijini Zanzibar.Ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar.
Gari la Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita likipita kuelekea katika Maegesho ya Magari baada ya kufunguliwa hafla iliofanyika Michenzani Mall Jijini Zanzibar.Ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar.

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita Akitoa hotuba katika hafla ya  Ufunguzi wa Maegesho ya Magari  iliofanyika Michenzani Mall Jijini Zanzibar.Ikiwa ni shamrashamra za miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.