Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi aufungua mkutano wa nane wa chama cha Walimu Zanzibar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa (kushoto) Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa (wa pili kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Matar Zahor Masoud (kulia) na Rais wa Chama cha Walimu Zanzibar Maalim Seif Hamid Seif (wa pili kulia) kwa pamoja wakinyanyua mikono wakati wimbo wa Mshikamano katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nane wa Chama cha Mwalimu Zanziar ZATU uliofanyika leo ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba. [Picha na Ikulu] 12/02/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa araza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Chama cha Walimu Zanzibar (ZATU)uliofanyila leo Katixa ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt.Mohamed Said Dimwa.[Picha na Ikulu]12/02/2023.
Wakuu wa vyombo vya ulinzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.[Picha na Ikulu]12/02/2023.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa nane wa Chama cha Walimu Zanziar (ZATU)wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Husein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano hur uliofanyika leo katika ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.[Picha na Ikulu]12/02/2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.