Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizindua Matembezi ya Mbio za Marathon za Kilomita 10 na Kilomita 5. Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, zilizoazia katika viwanja vya Forodhani na kumalizika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya Mjini Unguja.
WASHIRIKI wa Mbio za Marathon kilimota 5 za Uzinduzi
wa Wiki ya Sheria Zanzibar wakiaza mbio hizo katika viwanja vya Forodhani
Unguja Jijini Zanzibar, baada ya kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha
Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, na kumalizikia
katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezaji Muembekisonge leo 12-2-2023
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation
Mke wa Rais wa Zanzibar. Mama Mariam Mwinyi akiongoza matembezi ya Marathon ya
Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyoazia katika viwanja vya Forodhani
Unguja na kumalizikia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge
Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia kwake) Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim
Juma, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah na Mkuu wa Mkoa wa
Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana na (kushoto kwake) Mke wa
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib, Waziri wa Afya
Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan
Khamis Hafidh
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi katika mitaa
ya Shangani Mji Mkongwe Unguja wakati
akiongoza Matembezi ya Marathon ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar,
yalioazia katika viwanja vya Forodhani na kumalizika katika viwanja vya
Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja leo 12-2-2023,(kulia
kwake) Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof.Ibrahim Juma na (kushoto kwake) Mke wa
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib na Waziri wa Afya
Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui.
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa
Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiongoza matembezi ya
Marathon ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyoazia katika viwanja vya
Forodhani Unguja na kumalizikia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani
Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia kwake) Jaji Mkuu wa Tanzania
Mhe. Prof. Ibrahim Juma, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah na
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana na Kadhi
Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali (kushoto kwake) Mke wa Makamu wa
Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib, Waziri wa Afya Zanzibar
Mhe. Nassor Ahmed Mazrui
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
akishiriki katika mazoezi ya viungo katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani
Muembekisonge Unguja na (kulia kwake) Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof.Ibrahim Juma na (kushoto kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza
wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib, wakishiriki katika mazoezi ya
pamoja ya viungo,baada ya kumaliza kwa Matembezi ya Marathon ya Uzinduzi wa
Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyoazia katika viwanja vya Forodhani Unguja na
kumalizika katika viwanja vya Mapinduzi
Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja leo 12-2-2023
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
akishiriki katika mazoezi ya viungo katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani
Muembekisonge Unguja na (kulia kwake) Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof.Ibrahim Juma na (kushoto kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza
wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib, wakishiriki katika mazoezi ya
pamoja ya viungo,baada ya kumaliza kwa Matembezi ya Marathon ya Uzinduzi wa
Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyoazia katika viwanja vya Forodhani Unguja na
kumalizika katika viwanja vya Mapinduzi
Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja leo 12-2-2023
WASHIRIKI wa Matembezi ya Marathon Kilomita Tano na Kumi ya Uzinduzi
wa Wiki ya Sheria Zanzibar wakishiriki katika mazoezi ya viungo ya pamoja katika
viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja leo
12-2-2023
MSANII wa Kizazi Kipya Sultan King akiimbo wimbo
maalum wa kupinga vita vitendo vya unyanyasaji wa Kijinsia Zanzibar,wakati wa Matembezi ya
Marathon ya uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja
vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge
Wilaya ya Mjini Unguja leo 12-2-2023
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimvisha nishani mshindi wa kwanza
wa Marathon ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar ya Kilomita 10 Wanaume Aloice.S.Simbu
kutoka JKU,kwa kumaliza mbio hizo kwa muda wa 29:36.69.
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi zwadi ya fedha na
nishani mshindi wa kwanza wa Marathon ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar ya
Kilomita 10 Wanawake Velenti M.Lazaro kutoka JWTZ
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akihutubia katika viwanja vya
Mapinduzi Square katika hafla ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar,
iliyoendana na Matembezi ya Marathon ya Kilomita 10 na 5, yaliyoazia katika viwanja
vya Forodhani Mji Mkongwe Zanzibar na kumalizika katika viwanja vya Mapinduzi
Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja leo 12-2-2023
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa
Zanzibar Maisha Bora Foundation Bi.Mwanaid Mohammed Ali, wakati akitembelea maonesho
ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya
Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja leo 12-2-2023,
na (kushoto kwake) Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Juma na (kulia
kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib na Jaji
Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah.
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsikiliza Afisa ya Kitengo cha Sema
na Rais Mwinyi SNR Ndg. Haji Makame, alipotembelea maonesho ya Uzinduzi wa Wiki
ya Sheria Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani
Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja leo 12-2-2023, na (kushoto kwake) Jaji
Mkuu wa Tanzania Mhe.Prof. Ibrahim Juma na (kulia kwake) Mke wa Makamu wa
Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib na Jaji Mkuu wa Zanzibar
Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah.
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsikiliza Mwanafunzi wa Zanzibar School
of Heath.Hassan Hussein Hassan, wakati akitembelea maonesho ya Uzinduzi wa Wiki
ya Sheria Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani
Muembekisonge Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwake) Jaji Mkuu wa Tanzania
Mhe.Prof.Ibrahim Juma na (kulia kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa
Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib.
MWENYEKITI wa Zanzibar Maisha Bora Foundation
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa vitabu vya aina mbalimbali vinavozungumzia Haki za Binadamu na
Mratibu Taifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania Bw. Onesmo,
wakati akitembelea maonesho ya uzinduzi wa Wiki ya Sheria Zanzibar,
yaliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Muembekisonge Wilaya
ya Mjini Unguja leo 12-2-2023.
No comments:
Post a Comment