Habari za Punde

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi Amekabidhi Msaada wa Sadaka kwa Wazee na Watoto Yatima

Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (kushoto) akimkabidhi Mkoba Mtoto Salma Abdumajid  anesoma Skuli ya Kiembesamaki  wakati alipofika kutoa sadaka  ya  chakula na Vifaa vyengine katika Kituo cha  kulelea Watoto Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi leo,(kulia) Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (kushoto) akimkabidhi Mkoba Mtoto Nassra Abdalla wakati alipofika kutoa sadaka  ya  chakula na Vifaa vyengine katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi leo,(kulia) Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma.
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Kituo cha Watoto Mazizini Bi.Asha Abeid Masoud,sadaka ya chakula na Mikoba kwa Watoto,wakati  alipofika katika kituo hicho leo ,(kulia) Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (katikati) alipokuwa akimkabidhi Mzee Mtoro Seif Mwinyi, Sadaka  ya  chakula na Tende alipofika Nyumba za Wazee Sebleni Mkoa wa Mjini Magharibi leo,(kulia)  Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma na(kushoto) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (katikati) alipokuwa akimkabidhi Mzee Mtoro Seif Mwinyi, Sadaka  ya  chakula na Tende alipofika Nyumba za Wazee Sebleni Mkoa wa Mjini Magharibi leo,(kulia)  Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma na(kushoto) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa.
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (katikati) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa Watoto wa Kijiji cha SOS wakati alipofika kutoa sadaka  ya  chakula na Vifaa vyengine, Mombasa Mkoa wa Mjini Magharibi leo,(kulia)  Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma,(kulia kwa Mama) Mkuu wa Kijiji cha SOS Bi.Asha Salim Ali na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa
Baadhi ya Watoto wa Kijiji cha SOS wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) alipowatembelea na kutoa Sadaka na zawadi ya Mikoba leo
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Kijiji cha SOS Bi.Asha Salim Ali  sadaka  ya  chakula na Vifaa vyengine katika Kijiji hicho kiopo Mombasa Mkoa wa Mjini Magharibi leo,(katikati) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa.
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (katikati waliokaa) akimsikiliza Mtoto Mohamed Abdalla (mbele) aliyemshukuru baada ya kufika katika  Kijiji cha SOS na kutoa sadaka  ya  chakula na Vifaa vyengine,hapo Mombasa Mkoa wa Mjini Magharibi leo,(kushoto)  Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma,(kushoto kwa Mama) Mkuu wa Kijiji cha SOS Bi.Asha Salim Ali

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.