Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu akutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Misaada ya Kibinadamu la Katoliki la Marekani (Catholic Relief Services) Bw. Sean Callahan Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Misaada ya Kibinadamu la Katoliki la Marekani (Catholic Relief Services)  Bw. Sean Callahan aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Misaada ya Kibinadamu la Katoliki la Marekani (Catholic Relief Services)   Bw. Sean Callahan pamoja na Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania TEC Padri Charles Kitima mara baada ya mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Misaada ya Kibinadamu la Katoliki la Marekani (Catholic Relief Services)   Bw. Sean Callahan pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam

PICHA NA IKULU.

 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.