Habari za Punde

Mkutano wa Faragha kwa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu waendelea Arusha

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda wakati wa Mkutano wa Faragha kwa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Machi 03, 2023. Mkutano huo ulifunguliwa jana Machi 02, 2023 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wakifuatilia mada mbalimbali kwenye Mkutano wa Faragha wa viongozi hao unaoendelea katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Machi 03, 2023. Mkutano huo ulifunguliwa jana Machi 02, 2023 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.