Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Mashindano ya Quran Tajweed Masjid Noor Muhammad kwa Mchina UngujaRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya kuthamini mchango wake katika mashindano ya Quran Zanzibar, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar Sheikh. Said Nassor Said, wakati wa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar


WASHIRIKI wa Mashindano ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar wakimsikiliza Jaji Kiongozi (hayupo pichani) akizungumza na kutowa maelezo ya Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad Kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, yaliyoandaliwa na Taasisi Majlisil Quran Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar, wakati washiriki wa mashindano hayo wakisoma Quran, mashindano hayo yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzxibar na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar Sheikh.Said Nassor Said
MSHIRIKI wa Mashindano ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar.Ustadh Hamad Juma Salum, akishiriki katika mashindano hayo na kuibuka mshindi wa kwanza, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya kuthamini mchango wake katika mashindano ya Quran Zanzibar, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar Sheikh. Said Nassor Said, wakati wa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Imamu Mkuu wa Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Sheikh.Othman Maalim 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Masjid Noor Muhammed kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kualizika kwa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad yaliyoandaliwa na Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Masjid Noor Muhammed kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kualizika kwa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad yaliyoandaliwa na Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwa Mashindano Makuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar , yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Taasisi ya Maljisil Quran Zanzibar Sheikh. Said Nassor Said na Imamu Mkuu wa Masjid Noor Muhammad Sheikh.Othman Maalim


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Imamu Mkuu wa Masjid Noor Muhammad Sheikh.Othman Maalim, baada ya kumalizika kwa Mashindano Makuu ya 8 ya Quran Tajweed Zanzibar, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mmoja wa Majaji wa Mashindano ya Quran Tajweed kutoka Nchini Kenya Sheikh. Sharif Swaleh Al-Ahdal, baada ya kumalizika kwa Mashindano Mkuu ya 8 ya Tajweed Quran Zanzibar, yaliyofanyika katika Masjid Noor Muhammad kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.