Habari za Punde

Wazi Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Ahani Msiba wa Mdogo wa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya msiba wa  Yonaz Enock Yonaz ambaye ni mdogo wa Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt.  Jim Yonaz (kulia) nyumbani kwa Katibu Mkuu huyo,  Mbezi beach Kilongawima mkoani Dar es salaam..
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishirika katika sala wakati alipowasili nyumba kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Jim Yonaz  (kulia), eneo la Mbezi beach Kilongawima mkoani Dar es salaam kuhani msiba wa Yonaz Enock Yonaz ambaye   ni mdogo wa  Dkt.  Yonaz. Wa tatu kulia ni baba wa marehemu, Enock Yonaz
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Enock Yonaz ambaye ni baba mzazi wa marehemu, Yonaz Enock Yonaz wakati alipokwenda nyumbani kwa katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Jim Yonaz (kulia), Mbezi beach Kilongawima mkoani Dr es salaam  kuhani msiba huo, Machi 17, 2023. Marehemu ni mdogo wa Dkt. Jim Yonaz.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.