Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan apokea ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na  Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Tshisekedi, Profesa Serge Tshibangu mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 17 Aprili, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Tshisekedi uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum wa Rais huyo Profesa Serge Tshibangu mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Tshisekedi, Profesa Serge Tshibangu mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Tshisekedi, Profesa Serge Tshibangu pamoja na ujumbe aliombatana nao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 17 Aprili, 2023.

PICHA NA IKULU.

 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.