Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Awasilisha Hutuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya 2023/2024, bungeni  jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama (kushoto) , Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Profesa Joyce Ndaliko (katikati) na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazii, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya 2023/2024, bungeni jijini Dodoma
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Jim Yonazi (kushoto) na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Jamal Katundu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasilisha Hotuba ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya 2023/2024, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama (kushoto) , Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Profesa Joyce Ndaliko (kulia) na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi  (wa pili kushoto) baada ya Waziri Mkuu  kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya 2023/2024, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Jim Yonazi kwenye  viwanja vya Bunge jijini Dodoma, baada ya Waziri Mkuu kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya 2023/2024
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Jim Yonazi kwenye  viwanja vya Bunge jijini Dodoma, baada ya Waziri Mkuu kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya 2023/2024
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu baada ya Waziri Mkuu  kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya 2023/2024, bungeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2023.  Kulia kwake Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, na kushoto kwake ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,  Viana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi.
(Picha na Ofisi ya Wiri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.