Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi amtembelea Bi Khadija Abbas Rashid

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo baada ya ibada ya sala ya Ijumaa amemtembelea nyumbani kwake Bi.Khadija Abbas Rashid ambaye alishiriki katika tukio la kihistoria la kuchanganya udongo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26/4/1964 anayeishi Rahaleo, Mkoa wa Mjini Magharibi.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.