Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Amekutana na Balozi wa Qatar Nchini

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akiwa katika  mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini Tanzania anayemaliza muda wake, Mheshimiwa Hussain Ahmad Al-Homaid katika Ofisi kwake Oysterbay, Dar es Salaam.

Pamoja na mambo mengine, Mheshimiwa Majaliwa amemuomba Balozi Homaid akawe balozi mzuri wa kuitangaza Tanzania kwa sababu anafahamu vizuri fursa zilizopo nchini.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.